UNADHANI NI MWANAMKE YUPI AMBAYE ANATESEKA ZAIDI HAPA

ZAHARA; Ameolewa, mume wake anamhudumia kwa kila kitu lakini hatakia toke, saa kumi na mbili anatakiwa kurudi nyumbani. Kutoka ni mpaka ruhusa ya mume, hajaruhusiwa kufanya kazi amefunguliwa tu Biashara hapo nyumbani. Haruhusiwai kupost picha zake kwenye mitandoa ya kijamii, mume anashika simu yake na kuhoji kila kitu.

JACKLINE; Ameolewa, mume wake anamhudumia kwa kila kitu, ameruhusiwa kurfanya kazi, anaweza kutoka wakati wowote, anaweza kurudi nyumbani saa tisa usiku mume hata hamuulizi ulikua wapi. anaweza kutoka na marafiki wakiume lakini mume hamuulizi.

Anaweza kuaga anaenda kwenye shetehe Zanzibar akakaa wiki mbili mume hata haulizi uko wapi, mume hashiki simu yake, anaenda kwao kila akitaka anaweza kulala nnje na mume asiulize, anamuachia mume wa toto na mume hajali.

Niambie, katim ya hao waiwili unadhani ni yupo angalau ana furaha na ni kwanini?

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA