TUNACHUKIANA tunasemana vibaya tunadharauliana wakati mwingine sivyo tunavyotafsiriana vibaya ila niuwelewa wetu tu mdogo.


🌴Ipo hivi wewe leo hata uwe na mapenzi vipi uwe unamthamini na kumjali vipi Kama huyo unayempenda kumthamini na kumjali Kama hajui thamani yako unayomjali na kumpenda bado atakutenda kukupoteza na mwishowe akakutangazia huna mapenzi ya kweli.
❤️Penzi la kweli nikama chakula Kama hujui chakula kizuri hata ukutane na mpishi anayejua kupika na akapika vizuri bado utamlaumu na kumtangazia hajui kupika.
Kifupi kabla huja jaza lawama oooh sikuhizi hakuna mapenzi oooh siku hizi wapenzi waongo naomba nikuulize je unamjua mtu mwenye mapenzi ya kweli na mwenye kujali na kuthamini
👉🏿Maana usije kulaumu MIGODI haina almasi kumbe hata almasi zenyewe huzijui japo umekulupukia kuingia MIGODINI
🌲Kulijua jema na kulithamini kunahitaji Akili na upeo mpana sio kukimbilia kulitafuta jema.
May be an image of 2 people and people standing
36
3 comments
2 shares
Like
Comment
Share

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA