🔥Wanawake wenzangu Mnajua sababu kwanini Wanaume wengi siku hizi Hawaoi

 

🔥Wanawake wenzangu Mnajua sababu kwanini Wanaume wengi siku hizi Hawaoi🤔? Tukiachana na Kujiona sana sisi wanawake.... Inatakiwa Pia tutambue Haya⬇
🍏1. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejiheshimu
🍏2. Mwanaume Anapenda Mwanamke ambaye ni Mvumilivu
🍏3. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejari na Kuthamini
🍏4. Mwanaume Anapenda Mwanamke Mwenye Mawazo Chanya (Future Vision)
🍏5. Mwanaume anapenda Kutodharauliwa
🍏6. Mwanaume Anapenda Maamuzi yake yaheshimiwe
🍏7. Mwanaume Anapenda Mwanamke anaye Rizika
🍏8. Mwanaume Anapenda Kubembelezwa
🍏9. Mwanaume anapenda Kusikilizwa
🍏10. Mwanaume yoyote hapendi Mwanamke anayejiona na anayejiskia
➡Mwanamke Bora ni Yule anayejua Thamani ya Mwanaume na si yule anayejua Kipato cha Mwanaume. Naona Leo niishie Hapa, Yatupasa Tujitambue, na Tuache tamaa zisizo na Faida 🙏🙏
May be an image of 1 person and child

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA