MWANAMKE USIFURAHIE KUTONGOZWA UKAJIONA UNAPENDWA BALI FURAHIA KUWA TAYARI UNAE UMPENDAYE

Kuna faida kubwa kwa Mtu kuwa na mtu UMPENDAYE kuliko kuwa na mtu AKUPENDAYE ila wewe humpendi kwa sababu furaha na amani halisi inaanza na UTASHI wako mwenyewe

Wengi tunajikuta njia panda kwa sababu ya kutaka kujua UPENDO WA MWINGINE KWAKO huku ukisahau kwamba:-


Utashi ni mapokeo ya MOYO baada ya uhitaji wa NAFSI na hapo ndipo UPENDO hujengwa, ndo Maana hata ninasema ANZA WEWE KUPENDA Kabla ya KUPENDWA kwani Kuna faida, Maana ukimpenda mtu tafuta KUAMINIWA KATIKA UPENDO 

Ndipo utaona MAPENZI YANAVYO WEZA KUJITENGENEZA MENYEWE japo ni jambo linalohitaji Muda mpaka kufikia FURAHA NA AMANI YAKO 

Uwiano wa UPENDO
haujawahi onekana, Ila kilicho kuwepo katika MAPENZI ni kukubari kwamba NAWEZA KUJENGA IMANI YA MWINGINE KUONA NAMPENDA ndipo iwe rahisi wewe kupendwa, Mfano hai :-


Lakini Mwanaume akiombwa MAWASILIANO na Mwanamke huhisi Mwanamke kajigonga kwake 



Sio kila Mwanaume anapokutongoza anamaanisha katika UPENDO WA DHATI
kwani tayari wewe ni FAHARI YA TULIZO LA SHAUKU YA MWANAUME 


Muda Mwingine Mwanaume sio kama anahitaji uwe nae zaidi ya HAJA ZAKE ZA MWILI na hapo hapo Kuna wanaume wanao kutazama kama PAMBO LA MACHO YAKE kwamba anapokuona anasuuzika nafsi yake ila UKIMPA NAFASI AKUMILIKI ANAKUACHA MARA MOJA

Nataka kusema nini :-

Ni mateso makubwa kutafuta kujua KAMA UNAPENDWA usipokuwa makini UTAPATA MARADHI YATOKANAYO NA MAWAZO huku mwenzio akiendelea na 50 zake 


