SIO KILA MWANAMKE ANAIJUA THAMANI YAKE KAMA ILIVYO KWA UHALISIA BALI WENGI HUJIWEKA KAMA SEHEMU YA BURUDANI YA MWANAUME.


Mwanamke kujua kwamba yeye ni sababu ya jamii inayotokana na yeye ni mpaka atofautishe mambo mawili ambayo kwake ni sehemu moja;-
👉🏼 HESHIMA YAKE HALISI.
👉🏼 KUWA CHANZO CHA MAPENZI.
Mwanamke kama akijua hayo na kuyatenganisha ni dhahiri anaweza kuwa MAMA MWEMA.
Sio kila MWANAMKE anafaa kuwa MAMA kwani kuwa mama sio kwa sababu tu UNAWEZA KUZAA lakini pia kuifanya jamii yake kuwa chanzo cha jamii njema. Wanawake wengi ama kwa kutokujua maana ya wao kuwa CHANZO CHA JAMII basi hawawezi kujiondoa kwenye kuwa chanzo cha KUCHOCHEA ANGUKO LA MAADILI KWA VIZAZI VYAO.
Kama kuzaa ndo kungemfanya mwanamke kuwa mkamilifu nadhani kusingekuwa na jamii ambayo anguko lake chanzo ni MWANAMKE.
Tumheshimu MAMA ambaye anatajwa hata katika vitabu vitakatifu, kuna WANAWAKE wameitwa MAMA kwa sababu ya kuzaa lakini vizazi vyao ndo vimekuwa chanzo cha matatizo katika jamii, Tunapo ungana na dunia kuadhimisha siku hii ya MAMA naungana na wanaume wote kwa kutambuwa mchango wa MAMA katika maisha ya kila BIN ADAM💯
HITIMISHO;-
👉🏼KILA MWANAMKE AIJUE NAFASI YAKE KAMA MAMA NA SIO KICHOCHEO CHA MATATIZO YA WANAUME.
Happy Mothers day to you all my followers🌹
May be an image of 1 person, standing and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA