USISHAWISHIKE NA MAHUSIANO AMA NDOA YA MTU KWA PICHA KWAMBA UKIMPATA MWENZA WAKE UTAFURAHI KAMA YEYE.


Haya mapenzi ndani yake yana BAHATI usipokuwa makini unaweza kuingia penzi la mtu mwingine halafu ukaja kujutia, sio kila FURAHA NA AMANI uionayo kwa mtu ni kama wajibu wa mtu huyo, Bahati pamoja na mvuto wa mtu mwenyewe vinatenda kazi zaidi kuliko hata starehe ya kitandani, sio kila anayependwa ana uzuri kuliko wewe, muda mwingine kukosa mtu sahihi kunatokana na vile unajiweka mwenyewe, ushawishi wa MAPENZI ni mvuto ndipo BAHATI inaibuliwa na kumfanya mtu afanye ambayo yatakupa TUMAINI LA MAPENZI.
Kujiweka katika THAMANI YA NGONO ni kujiondoa kwenye KUAMINIWA KATIKA UPENDO♥️
Ngono inazaliwa na AMANI lakini hutapata AMANI kama wewe mwenyewe hujawa sababu ya AMANI YA MTOA AMANI.
Kila MTU ANATAKA KUPENDWA lakini wewe uliyetamani KUPENDWA kwa mwingine huwezi kuona hitaji lako kwa sababu unayetaka akupe UPENDO 💘 tayari moyo wake upo kwa Mwingine, Kama angekuwa hana mtu na ukampenda basi ungemfundisha kukupenda kwa sababu UPENDO unaambukizwa kwa matendo mema yazaliwayo na KUMJALI MWINGINE.
Itoshe kusema kwamba :-
👉 PENZI ZURI HUJITENGENEZA LENYEWE💗
Usiilazimishe FURAHA NA AMANI YAKO izaliwe na penzi la mtu Mwingine huko ni kujipa matatizo mwenyewe, Kila mmoja na namna yake anavyoweza kumfanya mwingine afurahie uwepo wake, Unayetaka awe wako kwa taswira ya penzi ulionalo kwake amini laweza kuwa ni kwa sababu ya huyo aliyenaye ndiye anasababisha APEWE PACKAGE 📦 HIYO YA UPENDO 💘
Ila wewe ukiingia kwa Mtu huyo unaweza kukomea kutumika na usione la ziada, Maana Muda mwingine NGONO haijengi wewe kupendwa ila UPENDO huja kwa UTASHI wa mtu mwenyewe💯
May be an image of 2 people, people sitting, footwear and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA