VIJANA NA MABINTI SALAMU ZENU






Mtu amesema hakutaki,hauna hadhi,haumfai,hamuendani,sio type yake, umkome kumtaja taja,hakuhusu,Mara usimpigie pigie
Kubembeleza upendo,hataki umchatishe mambo ya kufunga nae ndoa,anakuzungusha majibu ya kukubalia muda mrefu Sana umepita wewe wamng'ang'ania,wajinyima yeye ale,umekazana kumtumia pesa zako,vocha zako,unaliwa tuu,,mtu kasema usimfutilie wewe unamfuatilia,unakazana Niambie kosa langu ili nikuombe msamaha uendelee nami, tuendelee tuu,siku moja tufunge ndoa, acha kujiliza
na kujishusha thamani usimlilie Huyo mlilie Mungu akupe aliyekuumba kwaajili yako....

Acha huo ujinga

Hautakiwi usilazimishe

Huwezi juwa Mungu anakuepusha na nini....

Ng'ang'ania uhai huo ndiyo wa maana zaidi

Ng'ang'ania Wokovu huo ndiyo wa maana zaidi.

Utaishia kupotezewa muda,
Kuchezewa mwili wako,
Kuliwa pesa zako,
Kuchafuliwa,
Kuharibikiwa

Acha huo Ni utumwa upendo haulazimishwi,ndoa hailazimishwi
Wako aliyekuumbia Mungu yupo Wala Hana masharti hayo..

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA