DADA ZINDUKA MAISHA HAYAKO HIVYO UNAVYOFIKIRI.
DADA zinduka
Wewe ni dada
Mwana CHUO
Mwanafunz wa sekondari
Mfanya kaz
Mjasiliamari
Thamin mwili wako
Jali afya yako
Timiza ndoto zako
Achana na wazee wenye pesa maarufu kama SPONSORS badala yake hebu simama imara kutengeneza maisha yako
Sponsor ataweza kukupa zawadi ya
I phone X
Atakupangishia nyumba
Atakufungulia duka la vipodoz
Atafungulia Saloon
Hasara utayo ipata ni kupata UKIMWI na kupotezewa mda wako.. Weng wamesha kufa sababu ya kupenda zawad na tamaa ya pesa
DADA
Mthamin kijana mwenye nia ya kutaka kuishi nawe hata kama hana kitu leo ila kesho atapata maana kichwan mwake ana VISION...Huyo kijana hawez kuwa chini milele siku atapanda juu
DADA sponsor hawez kukufanya uitwe MKE japo anaweza kukuzalisha....
Usiharibu maisha yako
Usikatishe ndoto zako
Usiharibu ujana wako
Sababu tu ya Zawadi ndogo ndogo na pesa..
Ukiongeza juhud ktk masomo
Ktk kaz au biashara zako
Kesho utapata pesa nying zaid na salama kuliko za Sponsors
UZURI wako wa nje ni pambo tu maana kesho kuna kuzeeka huto waona tena hao SPONSORS.. Ila ukimpata kijana wa rika lako mwenye upendo wa dhat mtazeeka wote.
Usipende vya bure
Wengi wenye pesa ni wagonjwa
Wanasambaza makusud