JE HUA UNAJIPODOA PINDI ANAPORUDI MUMEO AU NDOO MPAKA UTOKE NA MASHOGA ZAKO!


Dada yangu,
mama yangu je una tabia ya kujiandaa kwa ajili ya mumeo??? kwa maana hua unavaa nguo za kumvutia na kupaka ka simple makeup kwa ajili yake?.
Mapenzi ni ubunifu na asikudanganye mtu usipochacharika na mumeo watakuchakarikia wanaoweza kazi hio.
Asikuambie mtu mwanaume anapenda kumkuta mkewe kajiandaa kwa ajili yake, anapenda kukuta mkewe kabadilisha style ya mavazi yake au nywele zake Sio kila siku twende kilioni utadhani yale mananasi ya mwisho wa msimu🤣🤣🤣🤣
Siku moja moja ingia YouTube angalia namna ya kubana nywele,
namna ya kufunga lemba zuri kwa ajili ya kumvutia mumeo.
Kaa ukijua usipomvutia wewe watamvutia wengine.
Najua mtasema wanaume hawaridhiki ila ushawahi kujaribu kumtuliza na hakutulia?
au ndo fata mkumbo tu? Maana nawaona sana mnasema ohoo wanaume hawaridhiki, sasa tutalidhika vipi na mambo unafanya Mara moja kwa mwaka???
wee pendeza uone navyo kupeleka mbuga za wanyama ukawaone kidogo🤣🤣🤣🤣
Na hata kama haridhiki mfanye akitoka ajute, maana hana anachokikosa kwa mkewe upooo.
Follow my page
Share
May be an image of 2 people, people standing, bicycle and grass

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA