Kumuambia Mwanaume hakuridhishi kunamuongezea kutokujiamini na kuzidi kuharibu

 




Kwa wanaume wengi iukishamuambia kuwa hakuridhishi kitandani basi jua kuwa hiyo ndoa au hao mahusiano ni kama yemekufa. Narudia, hata kama yeye anakukosoa, hata kama yeye hawezi kitu na unaona kabisa hufurahii basi usimuambie huniridhishi kwani hatakuja kukuridhisha tena.

Kumuambia hivyo ni kama unamuambia kuwa wewe si mwanaume, huna chochote unachofanya wenzako wananiwezea, wanaume hawapendi hivyo na wanachanganyikiwa kabisa wakiambiwa hivyo! Sasa swali linakuja, kama mwanaume hakuridhishi, labda ana nguvu za kiume lakini hata hajui namna ya kuzitumia.

Yaani akifika uwanjani badala ya kucheza mpira yeye anatwanga tu unafanya nini? Jibu ni rahisi mfundishe namna ya kukufikisha, hapa si kwa kumuambia bali kwa kumuonyesha vitendo. Unamfundishaje, soma sehemu ya saba ya kitabu changu cha MWANAUME. Nishamaliza Bei ya kitabu kimoja ni shilingi elfu kumi, na unalipia kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 Jina Iddi Makengo na kitabu unatukiwa kwa Whatsapp/Email/Facebook, hakuna cha karatasi.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA