Kuna mahusiano makubwa kati ya mtoto na baba wakati akiwa tumboni, au mtoto na mtu ambaye mama yake anampenda.


Wanaume wengi sana huwadharau wanawake wanapokuwa mjamzito, Hawajui kipindi cha ujauzito ndio kipidi cha kuchota moyo halisi wa mwanamke.
Kwa lolote unalomfanyia wakati wa ujauzito kwa mwanamke analiweka moyoni,
na hatowahi kulisahau maana ndio kipindi cha kujua nani na yupi anayempenda na kumthamini wakati wote.
Jinsi mwanaume atakavyokuwa akiishi kwa furaha na upendo wakati wa ujauzito wa mpenzi wake, Ndivyo mtoto anavyorithi furaha ya wazazi akiwa bado tumboni. Maana wataalam na watu wa imani husema kuwa mtoto anasikia akiwa tumboni, na wanasayansi hukazia kuwa hisia za mama yake ndizo zinazompa uhakika wa namna hatari au furaha... *WABABA,*
*WAKAKA,*
*WANAUME NA VIJANA WA KIUME* *TUNAPOIHUSUDU NGONO TUWE TAYARI KWA MATOKEO YATOKANAYO NA VITENGO HIVYO.*
Follow my page
Share
May be an image of child and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA