Usimchukulie mwanamke wako kirahisi rahisi tu kama anakupenda kweli

Jichukulie kama unayo bahati kubwa kupendwa. Anakupenda na anakupa attention ya kutosha hataki mtu mwingine achukue nafasi yake kwako.

Kama analia kwa sababu yako usifikiri kwamba ni mdhaifu mno bali jichukulie kwamba una bahati anakupenda kiasi kwamba unastahili chozi lake!
Kama ana wivu! Anaoona wivu dhidi ya wanawake waliokuzunguka ujue ni upendo alio nao kwako! Hataki uangukie katika mikono ya wanawake wengine ambao kimsingi hawatakuwa na upendo kama yeye!
Kama mwanamke wako atasema "samahani" hata kama kosa si lake usifikiri ana hofu ya kukupoteza, bali ameona mahusiano yenu yanahitaji nafasi nyingine na hatiki mtu mwingine aingilie!
Waheshimu wanawake zenu, waliojitolea jwa moyo wote kukupendeni!
May be an image of 2 people, child, people standing and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA