Wanaume wote nisikilizeni




Unapotaka kumuelewa mwanamke huhitaji kuwa logical bali emotional, mwanamke yupo after romance, jinsi unavyompenda, unavyomsaidia vitu vidogo, unavyomsikiliza, unavyombembeleza, unavyompa muda wa kuwa pamoja na kufurahia, unavyombusu, unavyomkumbatia, unavyomtia moyo, unavyocheza naye nk, kwake ni muhimu kuliko kununua gari au nyumba na kuamini kwamba hapo mwanamke atakuwa na furaha na hana sababu ya kutokuwa na furaha.

Unaruhusiwa kumfanyia mambo makubwa sana lakini kumbuka anza kwa kumfanyia mambo madogo madogo kwanza ili kuijenga hisia zake katika upendo wako.

Kwa kumfanyia mambo makubwa pekee haina maana kwamba hutakiwi kufanya mambo madogo na kwamba mambo makubwa au kumpa zawadi kubwakubwa hana sababu ya kutokuwa na furaha na kuona unamjali. Mwanamke anaweza asihitaji vyote vikubwa ila akahitaji attention yako pekee.

Ndio maana hata ulipokua una mtaongoza au unampomtongoza mwanamke hua mnatoa attention na muda wenu ndio unaona ana kubali.. Ukweli ndicho wanawake wote tunapenda..
Wewe kama baba fanya hivi mpende bwana maana si wako huyo, mpe mapenzi asiwepo wa kukufananisha naye

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA