Usiitamani HARUSI maana harusi si NDOA, ila jiandae kuwa MKE na mama bora na si kuwa danga bora baada ya kukosa NDOA.
HARUSI ni tafrija na NDOA ni maisha hivyo ukiitaka ndoa unaipata ila kupata ndoa yenye AMANI, FURAHA, UPENDO na MASHIKAMANO ndani ya nyumba ni suala lingine.
.
.
Siku zote NDOA ni bahati kwa mwanamke anayehitaji NDOA, ila ni nuksi kwa mwanamke anayetamani UHURU.
Mara kadhaa nmekuwa nikisema NDOA au MAPENZI ni ya watu wawili watatu ni MUNGU hivyo mkishindwa kusikilizana ninyi kwa ninyi mshirikisheni MUNGU.
NOTE:-
Zifuate hulka za mwanamka bora na uziishi ili uwe mwanamke bora na kuja kuwa mke bora na zaidi mama bora kwa mume na watoto wake.