💥FACEBOOK YAINGIA HASARA
Kwa masaa 6 ambayo mitandao ya Whatsapp,Instagram na Facebook inayomilikiwa na Mark Zuckerberg iliopotea hewani duniani kote, kampuni ya Facebook imeripotiwa kupata hasara ya $ 7 bilioni (Zaidi ya Tsh.Trillion 15)
Mark amesema tatizo la kiufundi wakati wana update lilipelekea kupotea kwa D.N.S pale walipokuwa wakiipata baada ya kuifanyia maboresho.
#Wewe umepata hasara kiasi gani kwa muda huo?