HII POST NI KWA AJILI KWA WANAWAKE TU
Usijaribu kurudiana na mwanaume uliye achana naye na mkaonyeshana usaliti kila mmoja waziwazi haijarishi kabla mlitoka naye wapi ...
Mara nyingi wanaume hua wanapenda kukumbusha ya nyuma ilikukufanya ujione ulipo umekosea njia sasa elewa hivi...
Utotoni ndio wengi huyaacha maisha yao na future zako sasa unapokua mkubwa unazidi kua mwelewa na mwenye uwezo wa kuchanganua mambo ....
Sasa mwanaume anapokukumbusha nyuma anakukumbusha ulipokosea njia na kumfanya ulipokua na akiri zako ujutie hali hiyo na kutaka ufanye mabadiliko ya future yako njemaa..best mtu mzima hakosei sasa wewe kumbusha oooh sijui nimetokanawewe 95mpaka leo unaniona sifai ..mwambie kwanza hakuna mwaka unaujutia kama huo wakujuana na wewe maana ningejua saivi ngekua mbali sana maana nisingekuruhusu ukauchezea mwili wangu na kuniharibia historia kama hivi sasa hivi ...
Sitaki kusikia neno au jambo lolote yote yaliyopitaga huko mimi na wewe ni mapito tu na nayajutia maana yamepunguzaga siku zangu za furaha na kuheshimika fuata mambo yako...
Best safari njema ni ile ya mbele kwa mbele lakini ile mara una rudi utarudi ukutane na makubwa duniani utajuta kwa nini nilizaliwa....
Mwache mwache mwache usionee nyani aibu utavuna mabua.