Kulala pembezoni mwa mtu unae mpenda hufanya uwahi kulala,
Hupunguza huzuni na inakusaidia uweze kuishi miaka mingi
Vinginevyo sema mwenyewe
Kuna Tofauti gani kati ya mwenye lengo la ndoa na asiye kuwa na lengo la ndoa mpaka leo wanawake wote duniani awajajua..
Ila sisi wanaume asilimia 99.9 mwanamke ambaye afai kuwa mke tunajua
Ogopa matapeli unachanganya maitaji ya ndoa na maisha magumu
Dada mwanaume wa kweli atakupa hela bila kukuomba Sex na akiondoka anawaza nilinunua malaya nalipa hela na wewe unataka ndoa maitaji yako kama wale wanaojiuza ....
Kwenye mahusiano kutanguliza mwili mahesabu yake magumu sana mwanaume ambaye anaweza kukupa hela na akakuwazia mema kwa miaka ya sasa ya usanii huyo mwanaume ni Kaka yako mzazi hela nyingi za wanaume zimejaa uovu na kuwaza sio kesho yako apate kile anataka tu
Sauti inatosha au niongeze