HAYA NDIO MAMBO AMBAYO UKIMFANYIA MWANAMKE HATAWEZA KUKUACHA KAMWE

 1. Mwambie yeye ni mzuri na sio uko sexy au hot

2. Mshike mkono wake kwa kuwa unampenda na sio unazingua
3. Mtumie sms nzuri ya kumwamsha asubuhi
4. Cheza nae michezo mingi na mfanye ashinde yeye
5. Mkumbatie mara kwa mara mgongoni kwa kumshtukiza
6. Usijirushe na x wako wakati yeye hayupo hayo sio mapenzi hayo.
7. Kama unaongea na binti mwingine mkiwa pamoja ukimaliza maongezi rudi na kumkisi mpenzi wako.
8. Mtumie sms au kumpigia simu na kumwambia unampenda.
9. Mtambulishe kwa wazazi, ndugu na marafiki na kuwaambia kuwa ni mpenzi wako
10. Penda kuzichezea nywele zake na kuzisifia
11. Jaribu kutoka nae hata kama atakataa
12. Onyesha kuumia ukigundua watu wanammezea mate
13. Mchekeshe kila mara kumfanya atabasamu
14. Mfanye alale mikononi/mapajani mwako akijisikia kulala
15. Kama amekuudhi mwelekeze kwa hekma na mkiss usimjimjibu vibaya.
16. Onyesha hisia zako kwake.
17. Kila mwanamke anahitaji zawadi kutoka kwa mwanamme kama:(pafyumu,viwalo na mekapu seti)
18. Mjali kama unavyowajali marafiki na ndugu zako
19. Mwangalie machoni mwake na onyesha kuvutiwa nae kihisia.
20. Tumia muda mwingi weekend kuwa nae pamoja kwakuwa unampenda .
21. Mkiss mvua ikiwa inanyesha bila kuwa na mwamvuli.
22. Mkiss kuonyesha wampenda
23. Kama unasikiliza mziki mpe headphone ya pili nae asikilize.
24. Ikumbuke birthday yake na kumpa zawadi hii inamaana kubwa kwake.
25. Kila mara akikukosea jaribu kuonyesha haujaumia, mkosoe kwa busara na sio kumkaripia.
26. Kila mara mpigie simu na kumwambia huta uumiza moyo wake na unamjali na unapenda kuisikia sauti yake
27. Mpe kila hitaji muhimu alitakalo
28. Onyesha kujali vitu vidogo afanyavyo kwani itampa imani zaidi kwako.
29. Usiwakumbatie mabinti wengine ukiwa nae.
30. Ukiwa na muda jaribu kuwa nae jirani atakujali kwa hilo.
31. Kama unamjali usimwambie ila onyesha kwa vitendo.
Share& Like
May be an image of 1 person and sunglasses

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA