SASA BASI WASICHANA WENYE TABIA HIZI ZIFUATAZO HUWA WANAZALISHWA NA KUACHWA.


1.Aliemuacha MWANAUME ambae alimgharamikia na kumpenda sana ila yeye akamuacha na kumng'ang'ania mwanaume mwingine.
2.Mwanamke mwenye mdomo sana..yani muongeaji too much
3.MAJIGAMBO,,,Anaejiona mzuri kuliko wengine...yani mwenye majivuno..
4.Anaependa maisha ya kuiga na kujali kitu kuliko hisia/mapenzi kwa boy wake ...yani yeye anataka kuishi kama ZARI wakati boy wake huo uwezo hana na yeye mwenyewe hata kazi ya maana hana
5.Mwenye dharau ...yani sometimes anaweza msonya hata boyfriend wake au kumbeza kisa anatongozwa na ma HB au wenye pesa kuliko boy wake
6.Mwenye tamaa yani haridhiki na anachopewa na boy wake ...akimpata mwenye pesa anamuona boy wake fala na kumuacha..
7.Mbinafsi yaani. ...hata akiwa na pesa au kama anafanya kazi hawezi msaidia boy wake akiwa kwenye shida....hawezi mnunulia hata boy wake zawaidi kama ishara ya upendo...
8.Mlevi na mpenda club...yani yeye kulewa ndio kitu chake cha kipa umbele kuliko mapenzi kwa boy wake..
9. Mbishi/mbishani....yani hawezi fanya kitu alichoambiwa na boy wake akifanye on time lazima mbishane kwanza hata kama hakina madhara..
Kiufupi wanaume hatupendi kubishiwa hovyo
10. Mwenye kiburi. ..yani ukimwambia ukweli anachukia na anakununia yani hadi tena umbembeleze au umpe kitu ambacho alikua anataka umfanyie. ..
11. Mgumu kuomba MSAMAHA...yani hata akikosea kuomba kwake msamaha ni kugumu sana ....yani yeye anataka akikosea usimwambie unyamaze tu
12.MAPAMBO,anaejipamba kwa mapambo mengi feki...
Mfano; nywele feki,kucha feki,kope feki,mdomoni malips stick kila siku mara meusi mara ya blue mara mekundu. ....
mikucha mirefu yenye rangitofauti
Kiufupi Wanaume tunapenda mwanamke simple ambae hata bila make up anajiamini...mdomoni apake lip shine tu inatosha...
13. IBADA ,Asiyejali maswala ya kumuamini na kumuabudu MUNGU..
yani yeye msikitini hapajui wala kanisani hapajui....hajui kumuomba mungu wala issue za mambo ya kiroho hazipo kabisa kwenye ufahamu wake...yeye daily ni kuweka STATUS za vijembe kwenye whatsap yake na kupost post za vijembe Facebook...na weekend anawaza tu kwenda kujirusha viwanja
14. Anaependa kujipost kila siku mitandaoni akiwa na mapozi ya kimalaya...na mavazi ya ajabu...Mara ajibinue...mara atoe ulimi nje ....mara akae nusu utupu. ...mara aoneshe mapaja yake...
15. Ambae HUWAJALI zaidi na kuwapendelea wazazi wake,ndugu zake,jamaa na marafiki zake zaidi kuliko upande wa mwanaume...
16. MCHAFU; hapa kuna ucha wa aina mbili...
UCHAFU wa kwanza ni ;TABIA ya KUWAPANGA WANAUME yani kutumika na wanaume zaidi ya mmoja...
WANAUME TUNA KINYAA SANA UKIJUA DEMU WAKO unaliwana au amelima na mtu mwingine wakati mko kwenye mahusiano..
Pili ;UCHAFU wa MWILI...yani wadada unakuta msichana mguu ukigusa neti inachanika...kucha chafu halafu kazifuga. ...
Mwalimu Bemasha
May be an image of 1 person, standing and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA