Siku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana kila mwanaume ana changamoto zake mfano mzuri tu ni kwamba





1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi,
Wewe cha kuangalia ni kwamba siyo kwa sababu hakuna aliyekamilika ndio uondelee kumngangania huyo kunguni ambaye hakutaki no wewe ukipata anayetaka kabisa kabisa kua na wewe na haoni zaidi yako na anakuhitaji kweli kweli basi hayo mapungufu yake yazoee maana huyo ndio bora kuliko anayetaka kukuchezea na kukutupa... Anayekupenda jua amekupa thamani ya kuwa zidi wengine hayo mapungufu yake ndio kipimo chako pia cha kujua kama una upendo naye hakuna atakaye kua bora kuliko yeye.. Ina wezekana ulipata mwenye mapungufu nafuu kuliko huyu ila akakutelekeza ni kwambie tu ndio maana alikutelekeza kwa sababu alikua ana fake maisha ili uone bora akutumie ki rahisi lakini Kwenye uhalisia wake ungemkimbia mapema tu
Mtu anapokua anakutaka kwa mwanzo mwanzo hua anakuja na ubora sana unaweza mwacha hata mmeo kwa ajili yake lakini huaga ni maigizo tu ili akutumie maana wanajua kabisa mahitaji yetu sisi wanawake ni yapi hua wana ji-tuni tu ili tu waone bora wa tupate ila uhalisia ni wabovu kuliko kawaida... Sasa my dia uliye naye asiyetaka kukuchezea tu ndio aliyekamilika kwako mapungufu yake yachukulie maana huyo ndio anaijua thamani yako vilivyo
#MadamKasema
@maisha_halisitz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA