WANAUME HIVI MNAJUA KWAMBA ADUI MKUBWA WA MWANAMKE KWENYE MAPENZI NI HII KITU HAPA

  Wanaume, ngojeeni niwaambie





Ukweli..
Iko hivi
Adui wa mwanamke ni upweke!!wengi wamecheat ndoa na mahusiano yao kwa sababu waliachwa wapweke!!..kuna mke wa mtu muda huu yuko busy kuchat na mchepuko sababu mumewe alimuacha mpweke!!kuna mke wa mtu muda huu anapanga kuonana na mchepukp sababu mumewe kamuacha mpweke!!hakuna zile text tamu!!hakuna yale maneno matamu, hakuna kumchatisha!!!...

Kuna muda mwanamke anakuwa na kiu ya kuchat na mtu kimapenzi, romantically lakini bahati mbaya akimtext mumew anajibu kifupi fupi , tena kigumuuu!!!mwanamke anajikuta moyo wake unakuwa na kiu ya maneno mazuri, bahati mbaya anakutana na kijamaa kwenye social nwetwork kinampa muda, tention , maneno matamu, sms nzuri, kinamsifiaa, brother akitoka salama hapo nenda kapige Goti shukuru MUNGU...mara nyingi wanawake wanakuwa blinded na kujariwa..ukimuacha loose sana ikatokea mtu akaanza kumjari huku kwako analoose kabisaaa!!....hata hamu ya kujibu text zako, hamu ya sex inakufaaa kabisaaa!!!!!

Hebu anagalia simu yako hapo ulipo angalia mara ya mwisho kuchat na mkeo sms tamu ni lini?afu rudi kwenye namba ya mchepuko wako mara ya mwisho kuutumia sms nzuri inaweza ikawa ni leo lakini mkeo hata neno mke wangu ww mzuri si ajabu halipo hata kwenye convesation zako!!you need to change!!..UNAVOKUWA KUWA BUSY KUUBEBISHA MCHEPUKO UJIONE UNAPENDWA...NA MKEO UKAMUACHA LOOSE NDIVYO UNAVYORUHUSU NAFASI YA MTU MWINGINE KUMKEEP BUSY !mwanamke akiwa loose sana anawwza kufungua mlango wa kuruhusu chatting na mtu kwa kigezo cha kupoteza muda na akazama mazimaa!usishangae muko sebuleni munazuga munachek tv kumbe kila mtu yuko busy kuubebisha mchepuko wake...madam nakukumbusha tu...TUSALI SANA...#MadamKasema
@maisha_halisitz

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA