USIFANYE MAKOSA HAYA KWENYE MAPENZI
usifanye makosa.....haya
Usiinge kwenye mahusiano sababu ya upweke..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kumuonea mtu huruma..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kumkomoa mtu..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kushindana na mtu..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya kusogeza muda..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya fasheni..
Usiingie kwenye mahusiano sababu ya umri unashawishi..
Acha maana Kilio chake ni Kikubwa baada ya Hapo.. Chukua moja hapo Inaweza kukuvusha mahali....
Mwanawake ni mvumilivu sana, anaweza akavumilia mpaka hatua fulani ya ujinga wa mwanaume na bado aka-pretend kama kila kitu kiko sawa. Lakini ikifikia hatua mwanamke ameamua kusema sasa inatosha na akaamua kuondoka hata bulldozer ije imvute arudi hawezi kurudi.
Kuna kitu ndani ya mwanamke ambacho kinamfanya avumilie maumivu kuliko hata mwanaume. Ndio maana mwanaume atazaa nje ya ndoa lakini mwanamke atamsamehe, atamtukana na kumnyanyasa lakini bado mwanamke atakomaa nae tu..
Lakini inapofikia hatua ya juu ya uvumilivu (endurance) na akaamua kuondoka, utafunga, utasali, utatafuta mawikili lakini hutafanikiwa.. ameenda hatatazama nyuma tena.
Mpende mwanamke wako anaekuvumilia na kukuheshimu na tengeneza mambo yakae sawa wakati huu ukiwa nae. Akiondoka na huko mbele akaja kukutana na KING atajuta kucheleweshwa na wewe kuku 😂😂😂😂😂😂
Wanaume naongea na nyie
@maisha_halisitz
Zaidi njoo lipia huduma za ushauri lipia tu elfu 11 Kwenye voda no 0756802580 then una kuja WhatsApp no 0656832100 jina litakuja la mme wangu emmanuel hosea