Tofauti Zilizopo kati ya *MSICHANA*


na *MWANAMKE* kwa sasa
👉1.Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa,
ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.
👉2.Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao,
ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao.
👉3.Wasichana huvunja mahusiano kwa sababu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu.
👉4.Wasichana hufikiria kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikiria kuhusu yajayo.
👉5.Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata,
ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi).
👉6.Wasichana wanahitaji pesa ili kununua mawigi na kubadili Toleo La SIMU,
ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo.
👉7.Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote, ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa.
👉8.Msichana akionywa anapokosea anahisi kuonewa, ila mwanamke akionywa anapokosea anahisi upendo anabadilika.
👉9.Msichana akipendwa anaringa anasumbua,
mwanamke akipendwa anajali na kuthamini kupendwa.
👉10.Msichana akiolewa anabaki na tabia za usichana usister duu,
mwanamke akiolewa anabadilisha tabia kutoka ya usichana kuwa na tabia ya kiuanamke,
hana usichana tena.
Hivyo jitazame upo kundi lipi upate kuubadili mtazamo ulionao 2021..........
Jiunge na group langu WhatsApp
May be an image of 4 people, flower and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA