DADA ACHA KUWA MAMA HURUMA MWILI WAKO NI KWA AJILI YA MUMEO..
Moja kati ya kitu mabinti wengi hawajui binti unapofanya NGONO na wanaume tofauti tofauti JUA MOJA UNACHAKAA,HATA ILE NURU INAONDOKA USONI PAKO UNAKUWA UVUTII TENA,unashangaa wenzio wanaolewa ila wewe unazidi kusota,vijana wanakuja kwako wanakurubuni wanazini wewe na kisha wanakuacha ,binti lazima uwe na msimamo utawahurumia wanaume wangapi..
Utasema mbona wanaume wanafanya ni kweli wanafanya ,ila lazima ujue kote kuna madhara ila mwanamke ndo zaidi,UNAPEWA MIMBA UNAKUWA SINGLE MAZA NANI ATAKUOA SASA ,UNACHAKAZWA UNAKUWA NA SURA KAMA BIBI,MAANA MWANAUME ANAYE KUCHUKUA NA KWENDA KUZINI NA WEWE HUKO LAZIMA UJUE ANAENDA KUKUNJA KISAWASAWA KWA NGUVU ZOTE KIU YAKE IISHE MAANA ANAJUA FIKA AWEZI KUKUOA',KWA STAILI IYO LAZIMA UCHOKE ,SASA UKIWAHURUMIA WANAUME KUMI KWA MWEZI TU UMECHOKA UMECHAKAA, unaanza kusema mm nina mikosa kumbe umikosi umekaribisha wewe..
lakini Unapopata mume wa kuoa hata AKISHIRIKI TENDO LA NDOA NA WEWE hakufanyii kwa nguvu na kukunja kama kambale,anakufanyia kiistarahabu maana anajua wewe ni mkewe upo nae kila siku na pia anakutunza vizuri ndo maana wake za watu kwa asilimia kubwa hawachoki.......tena wanapendeza zaidi hata michepuka wanatamini...
Dada tunza mwili wako mtunzie mumeo mtarajiwa akija akukute upo vizuri maana UTAKUTANA NA SAIZI MBALI MBALI ZA UUME kutoka kwa hao wanaume ambao unawahurumia,sasa ndo upate mume ambae si kama hao unao wahurumia je itakuwa amani kweli ,jitunze binti ukimuheshimu Mungu nae atakuheshimu,
Mwanaume wa kweli na mwenye hofu na Mungu hatokutaka ngono kabla ya ndoa.. ..
Yote yatawezekana ukiamua kuokoka na kukaa ndani Yesu tu,nje ya hapo ni ngumu.
Shalom..