Namkubali sana mwanamke ambae haangaiki kutafuta attention.
Hataki attention, ila attention inamfuata yenyewe bila jitihada zozote.
Hatengenezi mazingira ya kujikweza na kuonekana yeye ni bora kuliko wengine. Yeye ni mkimya, hana papara anajiamini na njia zake ni classic kiasi ya kwamba unajikuta tu umevutiwa na yeye
Yupo current, sio mshamba! Msafi, anajipenda na busy kweli na mishe zake. Nguvu zake nyingi amezielekeza kumtumikia Mungu wake na kufanya kazi halali za mikono yake.
Mavazi yake ni simple tu but very elegant...anakuvutia kwenye ulimwengu wake kwa namna tu anavyoweza ku-sustain maongezi yenye tija.
Anathamini na kuutunza mwili wake kama anavyotunza mboni ya jicho lake! Anatambua kuwa mwanaume atakaempenda na kumuoa atastahili mwili wake ulio safi na sio left overs! tabia yake inazungumza mengi kuhusu yeye.
Mwanamke huyu ni adimu kumpata. Brothers tunaojielewa tukimpata huwa tunapeleka yeye kwa wazazi, valisha pete, funga ndoa, tengeneza beautiful kids naye! Penda sana yeye, na tunza yeye kwa hali na mali.. l!! Kwani MUNGU akupe nini tena...!!
Lengo kuu ukiwa na mwanamke kama huyu ni kumpa mafanikio na kumtengeneza vile unavyotaka ili mwisho wa siku usimame nyuma na kusema...that's my beautiful woman!!! Mwanamke niliependezwa nae!
Share
Like Page